Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 9, 2019

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?



Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages