VIDEO:Wafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 9, 2019

VIDEO:Wafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa


Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengerwa ameishauri Serikali kutekeleza mpango mkakati chini ya Magereza inahakikisha wafungwa wenye ndoa wanawekewa mazingira yatakayohakikisha wanapata haki ya tendo la ndoa hatua ambayo itasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo UKIMWI

VIDEO: CLICK Here

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages