Utafiti..Wapenzi Wanaovaa Nguo za Kufanana Huwasaidia Kutunza Kumbukumbu - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 12, 2019

Utafiti..Wapenzi Wanaovaa Nguo za Kufanana Huwasaidia Kutunza Kumbukumbu

MAHUSIANO: Utafiti wa Jarida la HuffPost umebainisha kuwa wapenzi wanaopendelea kuvaa nguo zinazofanana(Sare) huwasaidia kutunza kumbukumbu pale mmoja anapokuwa mbali.

Jarida hilo linasema asilimia 58 ya vijana waliohojiwa wamethibitisha kukumbuka zaidi siku walizovaa sare wakiwa na Wenza wao.

Je, upi ni mtazamo wako katika hili, kuna ukweli wowote?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages