Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 27, 2019

Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto

Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto.




Ninapenda kuwapa ushauri vijana wale wanaosaka wife material kuwa hata makahaba wakimwona mwanaume aliyetulia na wanayehisi kuwa huweza kuwa mwoaji wa kweli watajifanya wametulia na Wachamungu. Na stahili yao kubwa ni kujifanya watu wazungushaji au wakataaji.
Wakati mwingine jibu la subiri nifikirie au nimwombe Mungu maana yake ni kwamba kuna wanaume wengine wamekutangulia sasa ngoja nifikirie. Na anaweza kukubalia kwakuwa una kipato kizuri au kazi nzuri zaidi ya fulani but hajazimika nawewe totally.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages