UNAMPENDA BABY WAKO??? MTUMIE SMS HIZI NZURII - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 25, 2019

UNAMPENDA BABY WAKO??? MTUMIE SMS HIZI NZURII



Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA 
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
............................
Nimepanda gari la "KUKUPENDA" Nimefika kituo cha "KUKUWEKA" (moyoni) Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali "NAWE", Nimelazwa hospital ya "KUKUMISS" (100%) Nimeandikiwa sindano za "KUKUWAZA" / kila saa,,, Nimetundikiwa dripu ya "UAMINIFU" na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda "MWINGINE" zaidi yako!!(.....)
...........................
napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
..................... 
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
..........................

Salamu ni moyo ktk "IMANI". Salamu ni uhai ktk "UPENDO". Salamu ni ufunguo wa "RIZIKI" salamu ni chakula cha "NAFSI" salamu ni "MSAMAHA" wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi" salamu huondosha "UADUI" Hakika salamu ni"UTAKASO" wa "NAFSI". Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
.............................
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
...................
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"

..............
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
.........................
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
..................
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
......................
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
.....................
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
...................
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
.......................
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
.................
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages