Siku hizi wanawake wamekuwa omba omba wa kutupwa - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 3, 2019

Siku hizi wanawake wamekuwa omba omba wa kutupwa

Nadiliki kusema wanawake wamekua omba omba
Hawajifunzi kutafuta hela wao wanajifunza kuzungusha kiuno, huo ndio upuuzi wao

Nikiwa katika mazingira ya kazi, nilimhudumia mteja mmoja ambae ni binti mzuri na ni mrembo
Aliomba namba yangu ya simu,nikampa kwasababu ni mteja na asilimia kubwa wateja wangu nafanya nao kazi kwa kuwasiliana nao

Nilimpatia namba bila shaka kabisa na licha ya kuwa Alikua mwanamke mrembo bado sikufikilia hata kumtamani wala kumtongoza

Chaajabu yule mwanamke ameanza kuniomba omba vivocha vya mara kwa mara
, yaani kwa siku anaomba mpaka mara 3 ,sijaona shida nimempatia mara zote alizo niomba vocha

Sijui ameniona boya au ndo ujinga wake jana kaamua kuniomba pasa ,na sijawahi kumtongoza wala sifikilii kumtaka

Wanawake sijui wamerogwa na nani

img_20190131_125234-jpeg.1009367


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages