NJIA PANDA: Nimeoa Nina wiki 4 girlfriend wa zamani (chuoni) nae Ana panga safari aje - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 26, 2019

NJIA PANDA: Nimeoa Nina wiki 4 girlfriend wa zamani (chuoni) nae Ana panga safari aje



Wakuu nipo njia panda hapa sijui nifanye nini chuoni nilikua na mahusiano na binti wa kinyaturu Miaka mi3 lakni mwaka Jana nimemaliza namwambia twende kwao nikalipe mahari nilijikunjua mwanaume pesa za korosho nikalipe akagoma,, niliondoka chuoni nikamwambia nakupa miez mi4 tafakari nipo sirias..

Wakati huo nilijandaa kisaikolojia mapema nikarusha jiwe bukoba kwa muhaya.. Akaingia king.. Wiki 3 zilizopita nimemvuta kusini huku.. Maisha yameanza Safi..

Sasa yule wa chuoni ndo anasema na yeye anakuja Maana nilimpa ramani ya kwetu tukiwa wapenzi kipindi kile.. Sasa hapa nashindwa nifanye nini,,

Wakuu wenye nidhamu na hekima ushauri wenu.. Mimi mkristo Siwezi oa mitaala.. Karibuni 



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages