Nimegundua Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 5, 2019

Nimegundua Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi



Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao... Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ?

Naombeni Ushauri

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages