Never give up kwa waliowahi kuumizwa katika mapenzi, yajue haya...
Kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu, fikra, mawazo, maumivu, kujiona huna thamani, jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda.
Let him or her go kama alivotaka, duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yeye na unaweza kupata mzuri zaidi yake na ufurahie sana na kumshukuru Mungu maana mpaka anakuacha manake kajionesha ngozi yake asili kua not your type and he/she does not deserve to be wid u kwaiyo never give up maisha yenyew mafupi, wacha aende utapata bora kuliko yeye.
Jaribu kukaa na familia, marafiki na watu wako wa karibu, cheka, furahia existence yako ni moja ya kuanza kumsahau na kutoa mawazo taratibu. Kua makini kwa kutokua muwazi, namaanisha kua sio kisa umeumizwa uko nyuma, ndo usiwaamini ke/me wote, binadamu hatufanani, unahisi umependa for the second time achilia toa la moyoni kuliko kukaa nalo, kua free kufanya lolote unaloona its good for you.
Baada ya kuumizwa sio unaenda na wewe kufanya vitu vya kipuuzi fanya vitu ambavyo vitakavyokufanya utoe mawazo na kukupungizia stress, unafanya ili uwe na furaha na sio depression ukaja kufa bure siku sio zako ndugu.
Jikite katika mazoezi mfano kukimbia au jiweke busy na kazi yoyote ili kukuweka busy na kupoteza attention katika kichwa ya yule aliekuumiza, usijiumize kabisa, unajiona maumivu yanazidi, zidisha kujiweka busy na jiweke kama hujawahi kuumizwa na jipe moyo be u as u, kua duniani hayuko pekeake. Ukijiweka karibu sana na watu,kua na furaha cheka nao, nao watafurahia uwepo wako, nakuhakikishia unaweza kujipatia apoapo mwingine hahaha, just be u.
Badala ya kuangalia mabaya ya kuvunjika uhusiano,bwewe tizama yale mazuri tu uloyafanya,usiseme labda nlifanya baya flani ndo mana nkatendwa, mana skuizi unaweza kutendwa kweupee na huna kosa ulilolifanya, unajishangaa unakaushiwa tu,usijitie mnyororo wa roho buree ukasema hata nkitongoza naweza nsikae nae sana kama wa mwanzo, no no no, hamna kitu kama iko, ndo mana tukaambiwa binadamu tunatofautiana, just move one, kua huru na nafsi yako, fanya roho yako kitu kinachojiskia ipate faraja for the second time toka mitoko ya hapa na pale, tafuta marafiki zako wa karibu, kua na ile tabia ya kutoka out kuspend kuenjoy, pia itakusaidia kutoa mawazo unajua ni bora kua single kuliko kua katika uhusiano mbaya unaweza pia kupost story yako ktk jukwaa husika ili kupata msaada zaid wa kimawazo, it ll help too.
Wanaume wameumbiwa wanawake na wanawake wameumbiwa wanaume,so hata ukiumizwa haifai kusema sitopenda tena, ohh sjui stokuja kutafuta mwenza tena, inamaana utaweza kukaa ivo pekeako mpaka uzeeni mpaka kufa, mara ohh sitopenda tena bali nitawachezea tu na kuwaacha kama nilivoachwa mimi, jamani jamani jamani, we cheze mwisho wake uchezewe, chezea wewe mwisho wake unajikuta umekondeana kwenda kupima ngoma unayo, utamlaumu aliekuacha au utajilaumu na nafsi yako.
Nimemaliza, love u ol.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
No comments:
Post a Comment