Habari zenu wapendwa, Weekend nilipata mgeni ambae ni ndugu yangu, ameolewa ana miezi 3 tu, lililomleta hasa ni kutafuta ufumbuzi anasema tangia ameolewa Mume wake alifika kileleni siku ya Honey Moon tu wana miezi 3 sasahivi hajawai fika tena lakini akiingia uwanjani anaweza ata kukesha tatizo ni hilo hafiki mwisho, amemuuliza kwanini anasema nayeye hajui kwanini, nimeona niwaletee nyinyi wana JF mabingwa wa TIBA ya kila tatizo, maana mdogo wangu amekosa amani ameshaanza kuona kupata
Saturday, February 9, 2019
Mume Wangu Hafiki Kileleni ni Kawaida au Ana Tatizo ?
Habari zenu wapendwa, Weekend nilipata mgeni ambae ni ndugu yangu, ameolewa ana miezi 3 tu, lililomleta hasa ni kutafuta ufumbuzi anasema tangia ameolewa Mume wake alifika kileleni siku ya Honey Moon tu wana miezi 3 sasahivi hajawai fika tena lakini akiingia uwanjani anaweza ata kukesha tatizo ni hilo hafiki mwisho, amemuuliza kwanini anasema nayeye hajui kwanini, nimeona niwaletee nyinyi wana JF mabingwa wa TIBA ya kila tatizo, maana mdogo wangu amekosa amani ameshaanza kuona kupata
Tags
# Mapenzi
Share This
About Utundu Kitandani
Mapenzi
Labels:
Mapenzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment