Mpenzi Wangu Anakosa Ute Wakati wa Tendo Ushauri Wako Tafadhali - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 24, 2019

Mpenzi Wangu Anakosa Ute Wakati wa Tendo Ushauri Wako Tafadhali

Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!

Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..

Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages