MC Pilipili Ampiku Diamond Platnumz Ndoa Yake Kufanyikia Uwanja wa Taifa - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 26, 2019

MC Pilipili Ampiku Diamond Platnumz Ndoa Yake Kufanyikia Uwanja wa Taifa

Ndoa ya moja ya wachekeshaji maarufu nchii Mc pilipili yategemewa kufanyka uwanja wa taifa kama inavyoripotiwa na yeye mwenyewe alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi, Mc plipili anasema kuwa ndoa hiyo ambayo iko karibu inawagahrimu sana kufikiria sehemu nzuri na kubwa ya kufanyia ukizingatia kuwa wanategemea kuwa na watu wengi hivyo kutafuta ukumbi mkubwa kwa ajili  yake.

Mc pilipili anasema kuwa mpaka sasa wamekuwa wakizunguka kwa ajili ya kutafuta ukumbi wa kufanyia harusi hiyo lakini bado hawajapata lakini kati ya sehemu wanazopendekeza ni uwanja wa taifa.

Anasema “mimi na kamati bado tunaangalia sherehe tuifanyie wapi, nimejaribu kuuliza kati ya uwanja wa taifa, uwanja wa Uhuru  na leaders , lakini pia tunaangalia na mlimani city.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages