Unapotaka kumshauri mtu aliyeathirika na mapenzi unatakiwa kuyafahamu mambo haya muhimu nayo ni:
1. Unatakiwa kujua maana ya upendo na gharama zake.
2. Lazima ujue vyanzo vya kujenga uhusiano ili uwe imara na mwenye nguvu katika maisha ya wapendanao.
3. Mambo 32 yanayojenga uhusiano kama ulivyosoma.
4. Lazima ujue mambo yanayoweza kuharibu mahusiano na milango ya kuvunja mahusiano.
5. Lazima ujue maumivu ya mapenzi ili uweze kuwaponya waliojeruhika kimapenzi
No comments:
Post a Comment