Kwa utafiti wangu mdogo unaonesha kuwa katika makabila yote ya hapa Bongo tzee, mabinti wa kabila la Kichaga ndio hasa wanaongoza kwa kulilia ndoa.
Yani ukikaa naye kwenye mahusiano ndani ya kipindi kisichozidi mwaka, lazima atakuwa ameshaanza kulilia ndoa.
Sasa ninaomba kufahamu kuwa huwa ni suala la kisaikolojia au ndivyo mila zao zinavyowafundisha kufanya hivyo?
Mabinti wengi wa kabila jingine huwa ni wavumilivu, hata kama watalilia, watalilia kindani ndani na wala huwezi jua mpaka kidume uamue kutangaza njaa ya kuweka ndani...
Toa maoni yako
Monday, February 18, 2019
Mabinti wa Kichaga Ndio Wanao Ongoza Kulilia Ndoa
Tags
# Mapenzi
Share This
About Utundu Kitandani
Mapenzi
Labels:
Mapenzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment