Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 3, 2019

Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

2016-stressed-black-man-jpg.1004632


Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,


Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako. 

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. 

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages