Kuna Anguko la Vijana wa Kiume Kwenye Mahusiano? Wanakosea Wapi? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 26, 2019

Kuna Anguko la Vijana wa Kiume Kwenye Mahusiano? Wanakosea Wapi?

Kuna hali inarudi kwa kasi mno... Wazee kuoa mabinti wadogo sawa na watoto wao ama hata wajukuu

Kipindi cha nyuma walijulikana kama wazee wa bandari lakini hawa hawakuwa waoaji bali waliwaweka tu vimada kwa kuwqpangishia chumba, upande mzima ama nyumba kamili...
Siku hizi hiyo haipo tena... Mzee akifika bei binti anataka ndoa... Japo kiuhalisia mzee anaibiwa tuu...

Wadogo zetu mko wapi? Mnakosea wapi?

Mnajichua sana, show off nyingi, six packs na kujipodoa kwingi.... Kwa mwanamke mapenzi ni zaidi ya hivyo vitu...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages