Kuishi Kwa Shemeji Shida Sana Ona Uyu Kijana Anavyopata Shida… Kisa Mchuzi wa Pweza - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 8, 2019

Kuishi Kwa Shemeji Shida Sana Ona Uyu Kijana Anavyopata Shida… Kisa Mchuzi wa Pweza

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.


Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namna moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages