Je, naweza kuolewa tena? - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 3, 2019

Je, naweza kuolewa tena?



Kutoka Kwa Mdau

Mimi bado nipo single mume wangu anaishi maisha yake na mimi maisha yangu, nimemwambia anipe talaka ili nijue kuwa kisheria sipo naye.

Mimi bado mdogo kiumri je kwa sababu nilishafunga ndoa ya kanisani naweza kuolewa tena?

Kipi bora kuishi hivi hivi milele (n
Japo ni ngumu kidogo) au kuolewa
#Ushauri wenu pls pamoja na experience
Najua hapa ni home of great thinker naweza kupata ushauri mzuri

Pili naombeni ushauri nifanyeje nipate amani yani nikubaliane na matokeo kuwa nipo pekeangu, sina amani 24/7 najaribu kila njia ya kusahau siwezi, kama uliwahi kupitia wakati huu ulivukaje?



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages