Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni?
Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi?
No comments:
Post a Comment