Hasara na faida za kujichua (punyeto) kwa mwanamke - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 10, 2019

Hasara na faida za kujichua (punyeto) kwa mwanamke

Kujichua au kujichezea (kupiga puli au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwahuwa wanajisaidia.




Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige


moja ndio nguvu zinakuja, hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.


Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.


Hasara za mwanamke aliyezoea kujichua.


Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa U-keni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, “kutifua” misuli ya u-ke na kusababisha u-ke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje. Ukizoea kutumia Sanamu kujichuautashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia u-keni na sio sanamu. Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye


kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita “madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu”.


Faida za kujichua:


1) Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.


2) Kujua “vipele vyako viliko”.


3) Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.


4) Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya ukimwi na magonjwa mengi


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages