Kutoka kwa Mdau
Nikapigiwa simu na shogangu mmpja hajaolewaga mpaka leo
Shoga huyu anavituko sana lakini NI muwazi balaa
Akaniambia amepata bwana sio Mtz NI Kaka wa Africa Magharibi...katika ongea za hapa na pale na umbea mwingi alinishangaza Kwa maneno fulani
Aliniambia;
Money Penny, huyu kaka nimempendea sauti yake, Yani ana sauti hiyo akiongea Tu me chini kunalowa, nakojoaaa hamu zinapanda hapo hapo...nimeshakuwa na mahusiano nae mwezi wa 4 sasa lakini hata nikiwa kwenye MP Niliskia anaongea hamu zinapanda!
Baada ya kumaliza kuongea na kuagana nikawaza kidogo
Nikajiuliza mathalani wakaoana alafu jamaa akapatA ajali ya Koo au akaumwa Kansas ya koo na sauti haitoki hizo hamu za kupandisha genye atazitoa wapi?
Mpenzi msomaji kuwa mkweli we genye zako (hamu zako ktk mapenzi) zinapandishwa na nini?
Au ndio Sauti kama shogangu hapa?
No comments:
Post a Comment