FACT:Ogopa sana mwanamke mwenye tabia ya kuiga maisha ya marafiki zake - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 25, 2019

FACT:Ogopa sana mwanamke mwenye tabia ya kuiga maisha ya marafiki zake


Nikiwa nasikiliza redio flani ivi nilikuwa nikimsikiliza mchungaji mitomingi akiwahasa wanaume katika kuwachunguza wanawake wanaotaka kuowa wawaogope wanawake wenye tabia ya kuiga mambo toka kwa marafiki zao...

Kwa mfano kuna mwanamke akiona ....

1.rafiki yake amesikia anataka kuolewa au ameolewa basi na yeye anataka aolewe hata kama mkoo katika kipindi cha uchumba cha kuchunguzana tabia.

2.kuna mwanamke akiona rafiki yake bwana wake kamnunulia kitu flani basi na wewe atataka na wewe umnunulie hata kama uwezo wako ni mdogo.

3.kuna mwanamke akisikia au akiona rafiki yake amefanyiwa jambo flani na jamaa wake basi atakufosii na wewe umfanyie jambo flani mfano kumnunulia kiwanja na kumjengea kwa vile ameona rafiki yake yuko vileee.

Na mengine mengi hivyo unashauliwa ukiwa na mwanamke kabla ya ndoa chunguza sana marafiki zake na tabia zao ukiona mchumba wako ana marafiki ambao wana vitu flani ambavyo yeye hana basi tegemea kupitia wewe utatumika kama ngazi kufanikisha malengo yake kwanza na kama uwezo wako mdogo ndo utakomaa sasa maana yeye lengo lake anataka kuwa kama wenzake .

Hivyo ukiona mwanamke ana tabia za kuiga igaa basi mpitie mbaliiii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages