BASATA Yampa Adhabu Kali Dudu Baya Yasitisha Usajili Wake - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2019

BASATA Yampa Adhabu Kali Dudu Baya Yasitisha Usajili Wake

Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) limesitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini(Dudubaya),kuanzia jana Alhamisi, 28 Feb 2019 .

Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa na jeshi la polisi, kutokana na kutoa kauli zisizofaa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Ruge



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages