Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 16, 2019

Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi



Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake.

Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume aliniachisha kutokana kazi iyo kuwa na shift za usiku na nilikuwa na mtoto mdogo,kwa sasa nilikuwa najishughulisha na biashara ndogondogo apo nyumbani.

Ila tangu nimeondoka nipo mkoa mwingine kwa sasa sijasimama vizuri kibiashara mana niliondoka pale bila chochote,uyu mwanaume anakomaa yeye atatuma laki 2 tu kwa ajili ya kumtunza mtoto kwa mwezi wakati yeye kipato chake kwa mwezi haipungui 1.4milion je nisahihi iyo pesa kwa kipato chake


1 comment:

Post Bottom Ad

Pages