1.Siku ya kwanza mmeenda kufanya ngono atagharamia kila kitu,,ila akisha kukojolea tu kisha wewe ukaenda nyumbani,,,hutaona kakutumia meseji hata kukuuliza"beby umefika salama"mpaka uanze kumtafuta wewe.
2.Ukienda na mwanaume kwake kisha akakuamsha asubuh sana kabla ya watu kuamka ili wasikuone,,,huyo hakupendi.
3.Mwanaume anayekuhitaji usiku tu huyo hakupendi.
4.Ukiona mwanaume anakupitisha njia za vichochoroni,,huyo hakupendi.
5.Ukiona mwanaume usiku kakupiga kabao kamoja tu halafu akageukia pembeni,,hataki hata umguse,,huyo hakupendi
6.mwanaume anayekuhitaji akiwa na nyege tu,,huyo hakupendi.
7.Ukiona mwanaume baada tu ya kufanya mapenzi na wewe akasitisha mawasiliano tu na wewe hata mwezi mzima halafu akaja kukutumia meseji "beby mbona kimya hivyo"ujue nyege zimempanda na amekosa wa kuzituliza ndo akakukumbuka wewe,,huyo hakupendi.
UKIONA DALILI ZA AINA HII KWA MWANAUME WAKO MWAMBIE APITE KUSHOTO.
Tuesday, June 11, 2019

UKIONA MWANAUME WA AINA HII UJUE HAKUPENDI ANAKUCHEZEA TU.
Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment