Stress kubwa ya mwanamke ni kuwa kwenye mahusiano asiyojua yanaelekea wapi,,,,mahusiano asiyojua kesho yake,,,mahusiano asiyojua mwisho wake ni upi,,,,huku ndiko tunaita kubet kwenye mahusiano,,,,wanawake wengi sana wamebet,,hawajui kama huyo mtu aliyenaye ndiye mume au atakuja kuachwa kwenye mataa,,,,,nikupe tu siri huna haja ya kubet kwenye kuolewa,,,,kama mtu kabisa anakufanya utoe machozi kila siku,,,hakuna anachokishilikisha kwenye mambo yake,,,,mambo anayoyafanya yamegeuka moto kwenye moyo wako,,,hakuheshimu!!hakusikilizi!!hakujali!!halafu bado upo tu,,,my dear unachofanya ni kubet eti mbao fc iifunge barcelona,,,,labda Mungu aingilie kati au ufunge kwa maombi na pambio juu,,,,,,ualike na kwaya ya kusindikiza maombi yako,,,,

No comments:
Post a Comment