1.Mwambie unataka kuzungumza nae;hapa kuna watu wanashindwa kuzungumza matokeo yake,,wanatuma meseji tu naomba tuachane,,kufanya hivyo katika mahusiano sio sahihi.
2.Mwambie mazuri yake;unapokuwa umemuita na akaitikia wito wako anza kwa kumwambia mazuri yake,,,mpe sifa zake na mshukuru kwa yote aliyokufanyia kipindi cha mahusiano yenu.
3.Mwambie waziwazi sasa nataka tuachane
4.Mpe sababu za kuachana;mwambie kila kitu,,,usifiche chochote na usijidanganye wala kukubali mpeane muda,,muda wanapeana wana ndoa.
5.Mpe moyo anaweza kupata mpenzi mwingine bora zaidi yako.
No comments:
Post a Comment