USIMLAZIMISHE NG'OMBE KUNYWA MAJI PENGINE KARIDHIKA - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2019

USIMLAZIMISHE NG'OMBE KUNYWA MAJI PENGINE KARIDHIKA




Wahenga wanasema "usimlazimishe ng'ombe kunywa maji pengine KATOSHEKA"uonapo unalisukuma sana penzi lako na haliendi,,,,unatakiwa ujue kuwa kuna kizuizi mbele,,,,mimi na wewe hatujui,,,mhusika ni yeye ndiye anatakiwa kusema kama amechoka anataka kupumzika au kuacha kabisa,,,,,MAHUSIANO NI FARAJA,,,,sasa kama hayaleti faraja unalisukumasukuma ili iweje?mtu anayekupenda haambiwi mpende fulani,,,,automatically yeye MWENYEWE anajitune kukupenda,,,,sasa kama wewe ndiye unayeona unalilinda penzi kwamba usipojishusha au kumbembeleza HAMUELEWANI,,,,unangoja malaika waje kukuzindua usingizini?mwenzangu pengine wewe umeshajua kuwa huyo ndo ROHO YAKO,,sasa nisije kukushauri UKAKATA ROHO,,
Mapenzi hayapo hivyo,,mapenzi yanahitaji uwajibikaji,,,kama hawajibiki kukupenda unadhani hana upendo?UPENDO kila kiumbe anao,,tatizo ni wapi aupeleke UPO HAPO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages