MANENO HAYA YASOGEZE AKILI YAKO - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2019

MANENO HAYA YASOGEZE AKILI YAKO


MACHO MARA NYINGI HUDANGANYA NA MAWAZO HUPOTOSHA,,MARA NYINGI UNACHOKIONA SI JINSI KILIVYO NA UNACHOKIWAZA SI NAMNA KILIVYO,,,,
HIVYO USITAZAME KWA MACHO WALA USICHAGUE KWA MOYO WALA KWA MAWAZO YAKO BALI MWACHE ROHO MTAKATIFU ATAWALE MAAMUZI YAKO,,
Ndugu zangu katika imani kuna muda tunapenda tusipostahili na kuacha tunapopendwa,,hii ni kwasababu hatuna macho ya kiroho,,,Mwenyezi Mungu atuepushie mapenzi ya mateso na mateso na atupe watu sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages