Kama uko kwenye mahusiano na mtu ambaye mnaweza kukaa hata miezi mitatu na hamuwasiliani,,labda hakutafuti kwasababu mko mbalimbali na hakuna sababu ya maana zaidi ya kukwambia kuwa nipo bize lakini nakupenda au mnaweza kukaa sehemu moja na mnaweza kukaa hata miezi miwili bila kuonana,,,eti anakwambia yupo bize na kazi,,,kazi zenyewe ni hizi hizi ambazo hazifanyii mbinguni ni hapa hapa duniani,,,,Bado mtu huyo anasema anakupenda na wewe unaamini kuwa anakupenda,,,ukajifanya Nina mtu wangu!ndugu yangu awe ni mwanaume au mwanamke kama inapita miezi mitatu na hakuna mawasiliano basi jua huyo sio mpenzi wako bali ni mtu tu ambae hana kazi kwa muda huo anakutafuta,,mnachati na akiwa na muda wa kupoteza anakutafuta mnafanya mapenzi basi,,,acha ufala na acha kujipotezea muda kwa kuwa kiporo chake.
Tuesday, May 14, 2019

ACHA KUJIPOTEZEA MUDA KWA KUWA KIPORO CHAKE

Tags
# Uhondo kitandani
Share This
About Utundu Kitandani
Uhondo kitandani
Labels:
Uhondo kitandani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment