USIMPOTEZEE MUDA MTU NI BORA UMWACHE KAMA HUNA MALENGO NAE - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 23, 2019

USIMPOTEZEE MUDA MTU NI BORA UMWACHE KAMA HUNA MALENGO NAE


Nataka nigusie pia jambo hili,,,kwenye mapenzi kuna utaratibu,,,kuna kupenda na kutamani,,,,usimpende mtu kabla hujaandaa mazingira ya kutunza penzi lake,,ni bora ukamuacha awe single kuliko kumdanganya na kumfanya apoteze moyo wa kupenda kwasababu yako,,,,,wengi wamekataa tamaa na kutotamani kurudi tena katika mahusiano,,,,,onyesha upendo kama unampenda,,,,,,,kinyume na hapo mwachee,,,,tafuta wakuchezea.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages