Mchumba Wangu Ameanza Kuvaa ”SHANGA” Miguuni…Nahisi Ameanza Kamchezo…. - Utundu kitandani

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 1, 2019

Mchumba Wangu Ameanza Kuvaa ”SHANGA” Miguuni…Nahisi Ameanza Kamchezo….

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.
Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ”vimini” na ”vishanga (vikuku)” miguu yote Miwili….
Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti “…mbona kawaida tu,..
NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA…Ka Kuliwa Nyuma MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages